AZLyrics.com - Request Lyrics Forum
Lyrics Requests only! No chat, please!
Add Mapenzini lyrics
Posted by: BossBelle ()
Date: June 24, 2017 01:24PM

I am requesting lyrics for BossBelle ft Barnaba & Alice Kella - Mapenzini

Options: ReplyQuote
Re: Add Mapenzini lyrics
Posted by: Yevlen ()
Date: June 29, 2017 10:45PM

Mapenzini
BossBelle
Featuring Alice Kella & Barnaba Classic


Mikutano ya siri, kwenye kiza kinene
Hukutaka subiri, nikamate mapenny
Ungeweza kukiri, mi ningejikita kwingine
Umeficha... Ona muziki munene

Ahaa

Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe
Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe
Nakutakia salama, tutakutana mbeleni
Namuonea huruma, mwenzangu na mimi

Kutwa umenuna
Ukiitwa unachuna
Amani hakuna
Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh...

Hivi ulikosa nini, kutaka kwangu upewe
Kama maisha uliwini, ilibaki uolewe
Mabuzi wote nchini, masharobaro mjini
Bado ukang'ang'ana nami, lakini kwanini...

Ahaa

Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe
Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe
Nakutakia salama, tutakutana mbeleni
Namuonea huruma, mwenzangu na mimi..

Oh Oh...

Kutwa umenuna
Ukiitwa unachuna
Amani hakuna
Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh...

Options: ReplyQuote


Sorry, only registered users may post in this forum.